Swahili - Sorah Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Noble Quran

Noble Quran » Swahili » Sorah Al-Qari'ah ( The Striking Hour )

Choose the reader


Swahili

Sorah Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Verses Number 11
الْقَارِعَةُ ( 1 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Ayaa 1
Inayo gonga!
مَا الْقَارِعَةُ ( 2 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Ayaa 2
Nini Inayo gonga?
وَمَا أَدْرَاكَ مَا الْقَارِعَةُ ( 3 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Ayaa 3
Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga?
يَوْمَ يَكُونُ النَّاسُ كَالْفَرَاشِ الْمَبْثُوثِ ( 4 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Ayaa 4
Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika;
وَتَكُونُ الْجِبَالُ كَالْعِهْنِ الْمَنفُوشِ ( 5 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Ayaa 5
Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa!
فَأَمَّا مَن ثَقُلَتْ مَوَازِينُهُ ( 6 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Ayaa 6
Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito,
فَهُوَ فِي عِيشَةٍ رَّاضِيَةٍ ( 7 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Ayaa 7
Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza.
وَأَمَّا مَنْ خَفَّتْ مَوَازِينُهُ ( 8 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Ayaa 8
Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu,
فَأُمُّهُ هَاوِيَةٌ ( 9 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Ayaa 9
Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya!
وَمَا أَدْرَاكَ مَا هِيَهْ ( 10 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Ayaa 10
Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo?
نَارٌ حَامِيَةٌ ( 11 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Ayaa 11
Ni Moto mkali!

Random Books